Ameandika kwenye ukurasa wake wa X.
"Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!
Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
Wakuu,
Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea
==============================================
"Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe...
Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu.
Aristotle anaona kuwa...
Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu.
Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye kuonyesha picha ya mtoto wake.
Msanii wa muziki wa hip-hop Tanzania Ibrahim Mussa maarufu Roma Mkatoliki, ametoa maoni yake kuelekea Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa, kuhusu masuala ya uongozi na maendeleo ya nchi, akisisitiza kuwa changamoto za maji na umeme zilipaswa kutatuliwa tangu miaka ya mwanzo baada ya uhuru...
Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe.
Katika andiko lake huko X (Twitter), Rapa huyo amehoji ni kwa nini watu wanategemea wasanii kama Zuchu...
Salute comrades!
Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali wawafanyie wachumba wao " vetting" ya kutosha.
Roma amesema kabla hujamuoa huyo mchumba wako na...
Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
Msanii Roma ameachia kionjo cha wimbo wake mpya na moja ya mstari wa huo wimbo ni huu mstari anaosema "Kwani aliyemteka Roma, si ndio aliyevamia Mawingu''.
Wajuzi wa mambo amemaanisha nini?
Written by Mjanja M1 ✍️
Wasalaam Wakuu.............!!!
Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili
Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
Ijumaa ya leo tarehe 18/08/2023 Msanii maarufu kwenye nyimbo zinazogusa maisha halisi ya Watanzania, Roma Mkatoliki ataachia wimbo wake uuitwao “Tupeni Chetu.”
Wimbo huu utagusia suala zima la bandari ambalo ndio jambo linalojadiliwa zaidi hapa nchini kwa sasa.
Kaa mkao wa kutega sikio muda...
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti.
Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
amavubi gfsonwin
amkeni
basata
ccm
dhidi
king'asti asprin
kuacha
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mama samia
maua
mpya
nani
ney wa mitego
nigeria
romaromamkatoliki
samia
serikali
ujasiri
ujinga
ukweli
ukweli mchungu
wimbo
wimbo mpya
yangu
Unajua nlikuwa naskiliza huu wimbo kwa machale sana, nikijisemea mhhh sasa anataka kusema nini? Manake huyu naye Kwa kuropoka tu hajambo. Ina maana atamtaja aliyemuua Nyerere ambaye watu wengi huwa tunaamini kuwa ni bwana ben.
Niliogopa sana, ila nkaja kugundua anazungumzia Kifo. So mimi ni...
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya...
Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki.
Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda.
Hakika baada...
Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki.
1. Roma
Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma twitter nakiona. Mshikaji ni content creator wa level kubwa sana alafu ni ile natural sio wa darasani...
Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani.
Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa
Wakati wew ni msanii mkubwa Sana ulietoa nyimbo nyingi na hit za kiharakati ni muda Sasa wa kurudi bongo Kama mmoja wa shabiki yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.