roman catholic

  1. SankaraBoukaka

    Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  2. M

    Nchi nyingi za Ulaya na Amerika, Protestants wakuwa Atheists na wengine wamebadilika kuwa Wakatoliki

    Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza. Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita...
  3. T

    Kwanini divai kwa Catholics huwa wanakunywa mapadri peke yao?

    Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
  4. Pdidy

    KKKT mbona roman catholic hawaangaiki na hao wa mafuta mahubiri yenu kila siku vs mafuta si nanyie muanze uza mafuta?

    Yaani imekuwa kama keroo sasaa mnafanya wengine tusiende makanisan Yaan kuna viongozi kila ukisikia ibada mahubiri yao 50 perc wanaanza kukandia wach wa mafuta sijui mkaa sijui majivu ooh mtanyeshwa, Kwa nini msichukue mda kufundisha neno la Mungu waelewe wapone Mbaya. Mnalalamika...
  5. tpaul

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ" "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa...
  6. Mhaya

    Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
Back
Top Bottom