Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo, amefungiwa kwa siku 30 na kutozwa faini ya euro 255 na Shirikisho la Soka la Ureno baada ya kuondoka kambini mwa timu ya taifa bila idhini. Shirikisho hilo limesema Ronaldo alikubali ukweli wa tuhuma zilizomkabili na kuwasilisha tamko rasmi la kukiri kosa...