Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Wakuu naomba kujua kama mada inavojieleza, sitaki kuingia mkenge natamani sana kununua router hii ya 5G inayotangazwa sana mitandaoni. Nimeshaongea na baadhi ya wafanya biashara hiyo sijaridhika, sasa nataka kupata neno kwa aliyebahatika kuzitumia.
Ni kwa matumizi binafsi lakini hapo mbeleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.