Wakuu naomba kujua kama mada inavojieleza, sitaki kuingia mkenge natamani sana kununua router hii ya 5G inayotangazwa sana mitandaoni. Nimeshaongea na baadhi ya wafanya biashara hiyo sijaridhika, sasa nataka kupata neno kwa aliyebahatika kuzitumia.
Ni kwa matumizi binafsi lakini hapo mbeleni...