Kwa nini kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla? Migogoro bungeni, wazazi kwa vijana, vijana na jamii kwa ujumla juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana. pia utegemezi mkubwa wa bidhaa kutoka mabara ya dunia...
Mnamo mwezi wa 06 mwaka 2018, Mohammed Dewji alifanya Mahojiano na mwandishi mashuhuri wa maswala ya biashara ndugu MFONOBONG NSEHE (http://www.campdenfb.com/author/mfonobong-nsehe). Mahojiano hayo yalichapishwa tarehe 19/06/2018 katika tovuti ya CampdenFB.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.