roving journalist

  1. O

    SoC04 Mfumo bora wa elimu utakaopunguza utegemezi mkubwa wa bidhaa, teknolojia kutoka nje na kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana ili kukuza uchumi

    Kwa nini kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla? Migogoro bungeni, wazazi kwa vijana, vijana na jamii kwa ujumla juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana. pia utegemezi mkubwa wa bidhaa kutoka mabara ya dunia...
  2. Utajiri wa Mohammed Dewji (MO) na Kampuni ya MeTL umechangiwa na maamuzi ya Serikali ya awamu ya tatu

    Mnamo mwezi wa 06 mwaka 2018, Mohammed Dewji alifanya Mahojiano na mwandishi mashuhuri wa maswala ya biashara ndugu MFONOBONG NSEHE (http://www.campdenfb.com/author/mfonobong-nsehe). Mahojiano hayo yalichapishwa tarehe 19/06/2018 katika tovuti ya CampdenFB.com...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…