Unakuta kwenye gari imening'inia rozari au tasbihi kuonesha mwenye gari - labda kama ni mwajiriwa - ana mtukuza Mungu ambaye anamtaka ampende jirani yake.
Jirani ni mtu yeyote aliye karibu yako. Sasa inakuwaje umkatarie mtumiaji mwingine wa barabara kuingia barabara kuu au kutoka barabara kuu...