rpc arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RPC Arusha Anatosha Kwenye Nafasi Aliyonayo ya Kamanda wa Polisi?

    John Peter ni nani kwake? Kwanini ametoa taarifa kwa umma ya kumlinda kwa kusema dereva alishambuliwa na kitu chenye ncha kali wakati alishambuliwa kwa risasi! https://x.com/tanpol/status/1889867546050039931?t=oqQZKG55TfluM2K6FrYdqg&s=19 Sikiliza mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wakitoa...
  2. RPC Arusha: Kundi la Wadudu ni kama Wasanii, wanafanya Sanaa sio Wahalifu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linao wajibu wakisheria wa kuwalinda raia na mali zao huku likibainisha kuwa limepokea maelekezo ya Mwenyekiti wa Ulinzi Mheshimiwa Paul Makonda aliyoyatoa hivi karibuni. Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Justine Masejo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…