Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi...
Nimefuatilia mitandaoni nyendo za RPC Dodoma aliyeondolewa, nimefuatilia kuona mahusiano yake na jamii pamoja na utendaji kazi wake. Nachelea kuamini kwamba katika kinywa kile maneno yakumdhalilisha mwanammke aliyetekwa yanaweza kutoka.
Nimefuatilia mitandaoni hakuna sehemu kuna sauti...
Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.