Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA.
Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa.
Cha kufurahisha zaidi bendera inapepea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa nao wanapokelea hapo hapo rushwa...
Mh Afande mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro natumain umzima wa Afya. Baada ya salamu niende kwenye MADA.
Barabara ya kutoka Njiapanda kuja mjini ni barabara iliyojaa Trafiki wengi sana kwa hili nakupongeza maana pia ni barabara inayotumiwa na wahalifu wengi hasa wa biashara za magendo.
Sikitiko kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.