rpc kingai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    DCI Kingai anza na Januari Makamba

    DCI mpya Kingai fungua file la uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri Januari Makamba za kuvunja Sheria za nchi . Fuatilia Kashfa inayoendelea sasa ya kati yake na Kampuni Kubwa ya kuuza gesi ya Taifa gas
  2. Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani. Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani. ==== Hatimaye Mbowe na wenzake wameletwa Mahakamani Jaji Joachim Tiganga ameingia Mahakamani Wakili wa serikali...
  3. RPC Kingai awaonya BAWACHA, Ahoji, unafanya mazoezi ukiwa umevaa fulana zilizoandikwa ''Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi'?

    Dar es Salaam. Wakati Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) likilaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es salaam kuzuia mazoezi waliyofanya jana, leo Septemba 19, Kamanda wa Kinondoni, Ramadhani Kingai amewaonya wanachama hao akisema Polisi wana akili zaidi yao na kwamba wasiwabipu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…