Kama kuna mahala kwa sasa ambako Wakazi wake wanalia kwa Kuibiwa na Vibaka mchana na kuingiliwa na Majambazi nyakati za Usiku ni wale Waishio maeneo ya Mbweni.
Kuna maeneo kama Kawe, Mwenge, Kunduchi, Mgulani, Ukonga, Gongo la Mboto, Makumbusho, Mbweni, Oysterbay Msaada Kontena, Kurasini na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la vifo vya watu wanne wa familia moja ambao wamepoteza maisha baada ya kuvuta hewa chafu ya moshi kutoka kwenye jenereta walilowasha ndani ya nyumba na baadae kulala
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro...
"Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe.
Kamanda...
"Unamuona kabisa kuwa huyu Mwanaume hajaumia kwa Ajali bali kachezea mno Kichapo cha Mkewe Nyumbani na unataka kumsaidia halafu anakataa na kuzidi Kukudanganya. Wanaume mkipigwa na Wake zenu kuweni Huru kuja Polisi au kwenda katika Madawati ya Kijinsia na mtapata Msaada" amesema RPC Kamanda...
"Kama kuna Kitu ambacho Jeshi la Polisi hatupendi na hatukipendi ni kuona/ kuwaona hawa Polisi Shirikishi (Polisi Jamii) Kutwa wanashinda Vituo vya Polisi. Kisheria na Kiutaratibu wao wanatakiwa wakae tu katika Ofisi za Serikali za Mitaa au za Watendaji na Polisi tukiwahitaji tutawaita ila...
"Unalewa hovyo, unafanya Ngono Garini wakati Gesti ziko tele na una Kwako, unaendesha hovyo Gari, unafanya kila mbwembwe Mitaani au Barabarani na kufanya Upuuzi wote Siku za Sikukuu mahala pekee ambako utaila vyema hiyo Sikukuu yako ni Jela.
Katika Sheria za Nchi hakuna mahala pameandikwa kuwa...
Bora nitembee na Miguu kutoka Mwenge hadi Tegeta Nyuki nitakuwa na Amani na pia nitakuwa nimefanya Zoezi la Kiafya kuliko Kuomba Lifti katika Difenda za Polisi Hawa wa Tanzania ninaowafahamu Mimi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.