Hali ya gumzo imetanda kwa baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya Songea mjini Mkoani Ruvuma baada ya Mwanamke mmoja katika Ofisi za Shirika la Umeme TANESCO Mkoani humo akiwa hana nguo huku baadhi ya Mashuhuda wakisema alianguka na ungo wa kichawi wakati akipita juu ya Ofisi hizo.
Soma Pia: Apata...
John Peter ni nani kwake? Kwanini ametoa taarifa kwa umma ya kumlinda kwa kusema dereva alishambuliwa na kitu chenye ncha kali wakati alishambuliwa kwa risasi!
https://x.com/tanpol/status/1889867546050039931?t=oqQZKG55TfluM2K6FrYdqg&s=19
Sikiliza mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wakitoa...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia.
Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk...
Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha...
..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi.
..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM.
..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi komesha kero ya wizi katika Shehia ya Kikwajuni Bondeni. Mhandisi Masauni ameyasema hayo mapema jana, Oktoba 28, 2024, wakati akihitimisha ziara yake ya...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS.
Hata...
ajali
chadema
iringa
jeshi
jeshi la polisi
kada
kada wa chadema
kusababisha
kutoka
mkoani
mtandaoni
polisi
rpc
siasa za chadema
siasa za tanzania
taarifa
vitus nkuna
wasiojulikana
watu wasiojulikana
Katika mkoa wa Mbeya, kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na ajali za barabarani. Hali hii imekuwa ya kusikitisha na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa maisha ya wananchi.
Katika ripoti hii, tunachambua sababu za ajali, athari zake, na mapendekezo ya jinsi ya kuboresha usalama...
Nimefuatilia mitandaoni nyendo za RPC Dodoma aliyeondolewa, nimefuatilia kuona mahusiano yake na jamii pamoja na utendaji kazi wake. Nachelea kuamini kwamba katika kinywa kile maneno yakumdhalilisha mwanammke aliyetekwa yanaweza kutoka.
Nimefuatilia mitandaoni hakuna sehemu kuna sauti...
Habari wana bodi.
Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo.
Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
Habari wana Jamvi,
Nimetafakari sana baada ya jesh la polisi kumchukulia hatua RPC Dodoma kufuatia kauli yake dhidi ya sakata la binti aliebakwa.Hakika niwapongeze kwa uharaka na weredi huu.
Laki i. Kama kijana nilie kamilika kichwani siachwi bila kujiuliza maswali kadhaa.
1.Mbona hatukusikia...
Jana palikuwa na maandamano ya wamasai ya amani, miongoni katika baadhi ya malalamiko yao mengi walilalamika kwamba wanazuiwa haki ya kupiga kura ilahali wafungwa (prisoners) wanaruhusiwa kupiga kura wakiwa huko magereza.
Pia wamelalamika kukosa haki ya afya bora, elimu bora, makazi pamoja...
Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari.
Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande...
Kila mlipomsifu kwa utu na kujali raia hasa wanawake neno langu lilikuwa moja Tu, "HAMUMJUI". Namfahamu tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki kipindi kile ilivuma clip mitandaoni aliposikika akimfokea Askari wa kike aliyedhalilishwa na dereva aliyesema ni "Mtu wa afande". Kama sikosei Askari...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao
Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia shughuli za Kipolisi wamekuwa hawatendi haki kwa baadhi ya Wananchi pia akadai wanashirikiana na Whalifu...
Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa...