Dar es Salaam. Wakili wa utetezi, Peter Kibatala katika kesi ya mauaji ya Aneth aliyekuwa dada wa mfanyabiashara wa madini Mirerani mkoani Manyara, marehemu Erasto Msuya (Bilionea Msuya), amechuana vikali na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Mchomvu...