The Great Ruaha River is a river in south-central Tanzania that flows through the Usangu wetlands and the Ruaha National Park east into the Rufiji River. Its basin catchment area is 83,970 square kilometres (32,421 sq mi). The population of the basin is mainly sustained by irrigation and water-related livelihoods such as fishing and livestock keeping.
Unamkumbuka yule mtoto aliyeibiwa juzi kati hapa kule Pwani? Sasa habari njema ni kwamba Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro chini ya kamanda wake Alex Mkama wamethibitisha kupatikana kwa mtoto huyo, inadaiwa kwmaba mganga mmoja wa kienyeji tayari anashikiliwa kwa kuhusika na wizi wa huyo mtoto...
Ulikuwa ni wakati mzuri kupata nafasi ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha (Hifadhi ya Pili kwa ukubwa Tanzania)inayopatikana ndani ya mji wa Iringa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Uhasibu (Tanzania Institute of Accountancy, TIA) Campus ya Mbeya.
Karibu utalii nasi,
Wasiliana nasi kwa Package...
Wakuu,
Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na wananchi kuhofia uwepo wa askari wengi katika vituo hivyo vya kupigia kura.
Kupata taarifa na...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MRADI WA REGROW HIFADHI YA TAIFA RUAHA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyo chini ya Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro.
Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds Construction Company - RCC ya Nigeria na...
LIFAHAMU DARAJA LA RUAHA MKUU - MOROGORO
Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro.
Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds...
BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU - KILOMBERO
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara...
Morogoro ni moja ya mikoa ambayo ina miradi mbalimbali ya barabara ya kitaifa lakini kwa sasa ipo miwili ambayo imekuwa ikiangaliwa kwa ukaribu na Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS).
Akifafanua kuhusu miradi hiyo, Alinanuswe Lazeck Kyamba, Meneja wa Mkoa, TANROADS Morogoro kwa...
Saalamu,
Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa.
Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh mpango taarifa za kiuchunguzi juu ya chanzo cha mto ruaha mkuu kukauka kwani mpaka siku wanafanya kile...
Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopewa mamlaka ya ziada mkoani Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Abuutwalib Seif (34) Mkazi wa Igumbilo, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumtupa mtoto wake Khadija Seif (5) mto wa Ruaha. Mtoto alikuwa ni mlemavu wa viungo.
Akisoma kesi hiyo jana Hakimu...
Wakuu,
Msaada wenu naomba kujua hotel nzuri yenye view Kali, yenye kila kitu naweza nipate namba za Simu jina na maelezo ya ziada nahitaji kwenda kuanzia Dec 15 mpk 20 kabla ya kwenda kuhesabiwa
Asante.
Msafara wa watalii wa ndani wapatao 500 wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendegu wametembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha iliyoko mkoani Iringa hivi karibuni kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani na kuvutia wawekezaji ili wawekeze katika miundombinu ya utalii.
Akiwa katika...
Imeelezwa kwamba Mto Mkuu Ruaha ambao ni kwa uhai wa hifadhi ya taifa ya Ruaha upo kwenye hali mbaya kutokana na maji yanayopita kwenye mto huo kukauka kabisa na hivyo kusababisha hata wanyama kukosa maji.
Akizungumza na waandishi Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi,Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Ruaha...
RUAHA MTO ULIOLIPIZA KISASI CHA KIFO CHA MTWA MKWAWA 1898
Katika askari mamluki walitoka Mozambique kuja German Ostafrika kuja kupigana katika jeshi la Wajerumani dhidi ya Mtwa Mkwawa na Abushiri bin Salim majina yao yanafahamika.
Majina haya yamefahamika kwa sababu mtoto wa mmoja wa hawa...
Moderators, naomba msiunganishe uzi huu kwa kuwa una mambo ya msingi makubwa ya ukosefu wa haki za binadamu. Ni thread ya msingi sana katika kututoa katika karaha za utawala uliopita.
Nilikuwa nimeacha kutoa thread JamiiForums, lakini kwa hili la Polisi kudanganya umma kuhusu mauaji ya wananchi...
Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vimekutwa kwenye eneo la hifadhi ya Taifa ya Ruaha Wilayani Mbarali mkoani Mbeya jana Jumatatu Aprili 27, 2021 huku vikiwa vimeharibika.
Taarifa za vifo hivyo zilitolewa na baadhi ya wanavijiji waliodai kukimbia askari wa wanyamapori waliokuwa wakiwafukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.