Happy New Year,
Mods tafadhari musidelete post yangu.
Tarahe 24 Dec 2024 nilikuwa nalipia Netflix Subscription kwa kutumia Mastercard ya MIXX BY YAS lakini kwa bahati mbaya ikawa rejected huku kiwa imetoa ujumbe ufuatao,''Payment declined,please contact your card issuer'' na Uzuri ni...
https://feminahip.or.tz/
FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
Wanabodi,
Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?.
Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza!
Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi!
Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena
Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani,
Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani,
Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu,
Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu,
Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu,
Kama hamtaki ndoa...
Wakuu mko vyedi najua,
Baada ya vifurushi kuwa patashida, mwaka jana November nilijiunga TIgo Post paid. Nililipia mwezi wa 11 lakini mpaka leo sijaunganishwa.
Wakala wao ananiambia zinashunghulikiwa kila siku. Mara aniambie nimeshaunganishwa wakati mimi sioni upande wangu. Kiukweli tigo...
Najua mmeshiba na kutujazia Kodi sio kuwa ndipo mnapata uchumi mkubwa wa kulipa madeni.mmeogopa kuwabana wenye pesa Ila mnababana na wajinga wanyonge wasio na nguvu Mana hawamrishi Askari masikini mwenzake.
Sasa wewe eti hakuna tozo kutoa hela chini 30k kwa atm nikitoa laki mbili...
Katika kanisa linaloongoza sasa hivi kwa migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ni EAGT.
Inaonyesha kabisa hawawezi kujisimamia kutwa kusumbua Serikali na msajili.
Hilo kanisa la EAGT walitokea Kanisa la TAG .Kule TAG kuna utulivu mkubwa na hakuna migogoro
Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote...
Hawa jamaa sijui vipi. Nimefanya transaction Jumatano iliyopita, nimemtumia mtu wa Mpesa kwa bahati mbaya miamala ikaenda mara mbili. Nimewasiliana na Airtel Money wanasema wanasema Mpesa itarudisha ndani ya masaa 48. Leo sijaona muamala wowote . Rudisheni pesa yangu tafadhali. Maisha magumu.
Kwani what happened na Dawasco?
Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu.
Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
limekuwa gumzo kwa nini mawaziri na watu wanaojiweza wanapeleka watoto wao shule za kiingereza kwa gharama kuu wakati watoto wa masikini hawajaliwi katika shule za kata. sababu ni moja tuu ni kutafuta njia ya watoto wao waongee kiingereza vizuri kama ilivyokuwa enzi za darasa la nane .sasa...
TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine?
Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
Miaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.