Wakuu,
Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia ulifanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama na Lissu akafanya uteuzi wa viongozi, na kati ya...
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
ally ibrahim juma
amani golungwa
baraza kuu chadema
chadema
hafidhi salehe
john mnyika
katibu mkuu chadema
kuendelea
lissu
mbowe
mwanasheria mkuu
rose mayemba
rugemelezanshala
salma kasanzu
team mbowe
Mimi naomba kwa wale wote wanaopenda nchi yetu tusibaki kulalamika na serikali yetu ambayo haifanyi lolote kurekebisha mkataba badala yake naomba tufanye hivi
Team ya wasomi wanao taka mabadiliko wasafiri kwenda Dubai kama wadau wa maendeleo na waombe kukutana na viongozi wa huko . Waende na...
Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka.
Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
Wakili Msomi Fatma Karume amehoji iwapo Dr Nshala atauwawa ndio Mkataba wa Bandari utakuwa Mzuri ?
Mkimuuwa Dr Nshala ndio Wananchi wataukubali Mkataba wa Bandari?
Mwisho ameuliza, Yuko wapi Shujaa Magufuli?!
Amehoji haya kupitia ukurasa wake wa twitter
Nawatakia Dominica njema!
Pia soma...
Habari wasomaji na wananchi wote.
Je, tumekuwa Taifa la ovyo hivi.
Je, hili ni suluhisho la mjadala katika mambo ya Kitaifa?
Akiuawa, tunatuna ujumbe gani.
Pia soma
Mwanasheria Dkt. Nshala Rugemeleza: Mkataba wa bandari ni wa kiuhaini, Umevunja katiba ya nchi na utakwenda kuvunja sheria za...
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi
Publications (3)
Local Communities and...
"Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa, kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA, this is nonsense, itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna ya kujitoa na ukitaka kujitoa uende katika mahakamani za kimataifa, angalia ibara ya 10, 18 na 27 ya mkataba huo...
Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali...
Tundu Lissu ametangaza rasmi kumuunga mkono Dk Rugemeleza Nshala kuelekea uchaguzi wa TLS. Dk Nshala ambaye anagombea kukirithi kiti cha Wakili Msomi Fatuma Karume cha Urais kwa sasa ndiye makamu wa Rais wa TLS.
Katika andiko lake Lissu amemsafisha Dk Nshala kwa tuhuma zilizokuwa zikisambazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.