Jana,katika Mkoa wa Rukwa watu wawili wameuawa kwa kupigwa radi walipokuwa shambani baada ya mvua kunyesha kidogo mchana kweupe.
Shuhuda mmoja wa hili tukio amesema,"Kama yupo mtu yoyote aliyefanya hiki kitendo,anapaswa kuona aibu. Angalia watu wote hawa wanavyolia!"
Waliokufa ni mama na mtoto...