Bakari Ubena - Dw Swahili
Kumeibuka hali ya kutia wasiwasi barani Afrika ambapo watu wanaofichua taarifa mbalimbali hawapatiwi ulinzi wa kutosha baada ya kufichua maovu, na mara nyingi watu hao hujikuta wakijipigania usalama wao na wa wapendwa wao.
Wafichuaji hujikuta wakilaazimika kujilinda...