Habari zenu wana JF
Niliwahi kuandika juu ya suala ya usafirishaji kwenye majiji yetu yote. Nilikwenda mbali zaidi kwamba inafika wakati sio bisahara tena bali ni huduma.
Serikali yetu inazorotesha maendeleo ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla kwa kung'ang'ania hizi daladala...
Kamanda Jumanne Muliro, tuache unafiki, tuache kuoneana. Unatutangazia kuwasimamisha hawa Polisi wawili walioonekana wakichukua fedha kwa makondakta wa dadadala kwa sababu wamefanya kosa au kwa sababu wameanikwa mitandaoni?
Ina maana hujui kwamba kila siku traffic wanaokuwa barabarani wanafanya...
Naelekea airport. Nnimepanda basi la Tandika
Yaan kuna matraffick kila kituo na wengine wana nyota zao
Ajabu na kweli yaan basi zaidi ya 6 zimesimamishwa makonda wanasafwata wanawapa karataso imevingirishwa wanaondoka basi linaendelea na safari
Yaan hata kujamkuzuga kuzunguka basi kama...
Kwenye video ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, trafiki mmoja nchini Kenya ameonekana kukamatwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuwa alitaka kupokea rushwa.
Video isiyo na tarehe imewaonyesha raia wakimzingira trafiki huyo kwa madai ya kuvunja kioo cha matatu...
Kumekuwa na vituo vingi vyenye askari barabara ya Kigamboni-Mkuranga na kila kituo askari wanadai kupatiwa shilingi elfu mbili. Mpaka siku inaisha tunakua tumepoteza kiwango kikubwa tu cha pesa.
Wadau hasa TAKUKURU tunaomba mlitazame hili kwani tumewekeza pesa zetu katika sekta ya usafirishaji...
Hii kitu inanikera sana na inaniacha na maswali mengi. Hii hasa ipo kwa magari ya Kawe pale karibu na kituo cha Jeshini, na njia ya kwenda Makumbusho kutokea Kinondoni Studio karibu na kituo cha daladala cha Vijana.
Askari hao wanasimamisha kila daladala inayopita na konda anakunja hela Tsh...
Jeshi la Polisi Tanzania Nchini limesema kuwa Kila mwaka huadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani huku likipiga marufuku kwa mtu yoyote kupokea ama kutoa fedha taslim wakati wa Ukaguzi wa vyombo vya moto.
Akitoa taarifa hiyo leo Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna wa Polisi...
Kwenu wenye mamlaka, naandika ujumbe huu nikiwa ndani ya Basi la Saibaba kutoka Arusha kwenda Dar, basi hili ni la safari ndefu lakini linasimamisha abiria kama Daladala.
Hili ni Moja nililoshuhudia Mimi ila mabasi mengi yale yanayopaki stendi kuu ya Arusha yanafanya hivi, cha kushangaza hili...
Police wetu wa usalama barabarani wangekua kama hivi, wanapiga picha na risiti dereva anapambana nayo kwenye system na kwenda kulipia kwa control number rushwa ingepungua sana na kuacha kujazana mabarabarani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.