Joseph Mbilinyi wanakuita Sugu umetajwa mara nyingi sana mwenyekiti wako wa chama Tundu Lissu kuwa umepata uongozi wa kanda kwa kutumia rushwa. Lissu amesema mara nyingi ulitumia pesa kutoka kwa Abdul kumtoa madarakani rafiki yake mwanaCCM kwa sasa Peter Msigwa.
Hizi tuhuma ni nzito kwa sababu...
Habari ya wakati huu wadau,
Nadhani ni wakati mhafaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambna na Rushwa kushughulika na tuhuma zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya wagombea wakati wa uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Kusafisha taswira...
Lisu ameongozana na wafuasi wengi ambao badala ya kushawishi wachaguliwe wanashawishi wanachama waamini kwamba Mbowe anatumia fedha.
Lakini najiuliza mbona uchaguzi wa mabaraza yote hakuna rushwa iliyoonekana wala kuthibitika? Nataka kujiuliza mjumbe aliyefutwa uongozi kwenye kanda yake...
Makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kutoa maoni juu ya hali ya sasa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi wa uongozi hasa ule wa nafasi ya uenyekiti taifa.
Godbless Lema, mwanachama wa muda mrefu na kada wa CHADEMA, ameandika ujumbe wa kina kupitia...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakati anajiunga na chama hicho kulikuwa na ukomo wa miaka 10 kwa kiongozi kukaa madarakani, hivyo kukawa na ukosefu wa watu wenye uzoefu wa kuwaongoza wengine. Ila kwa sasa chama kimekua na kinahitaji mabadiliko kwenye ukomo wa madaraka kwenye...
Wakuu
"Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli"
"Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji;
"Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA"
Soma, Pia:
• Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
Amenadika Mdude Nyagali kwenye Mtandao wa X.
Kwa wale wageni ambao hawajui mambo ya uchaguzi ndani ya vyama n.k.
1. Posho za wajumbe hutolewa mapema tu wanapowasili na wahasibu walioteuliwa pamoja na viongozi hadharani kwa kuhakiki majina kisha kusaini.
2. Posho huwa haitolewi uchochoroni...
Wakuu salam.
Kwa wafuatiliaji wa siasa za Tanzania toka zilivyoanza kuchangamka 1995 mtakubaliana na mimi kuwa Dr. Slaa ni mmoja wa wanasiasa "Contraversial" na mwenye ushawishi kwa muda mrefu, takribani Miongo mitatu sasa.
Ni Dr. Slaa huyu huyu aliewahi kuhoji na kufanya Jack Zoka Naibu Mkuu...
TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tanzania Bara, alishusha tuhuma kuhusu mtu anayeitwa Abdul, mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda nyumbani kwake kumhonga.
Alizungumza kwa mara ya kwanza Iringa Mei 2024 kwenye mkutano wa hadhara. Aliendelea kurejea maneno hayo katika mikutano...
Lissu ameulizwa kwanini ameongea sasa kuhusu rushwa za mama abdul na mwanaye anakuja kuongea sasa, amejibu hivi;
Nilihitaji kukusanya taarifa zaidi kabla sijangumza, kabla ya kuzungumza kwenye mkutano wa iringa may 2 aliandika ujumbe wa maandishi kwa wajumbe wote wa kamati kuu, akielezea juu ya...
Wajumbe najua wengi mpo humu na mnasoma haya na mnaziona harakati na vikao vya siri na vya wazi mnavyo endelea navyo huko mafichoni, sasa kama mtajichanganya shauri yenu na heshima ya chama chenu mliyo ijenga miaka yote itapotea kabisa ndiyo mtakuwa mnakiua kama vilivyo kufa vyama vingine...
Wakuu,
Inaonekana mambo yanazidi kutokota ndani vya CHADEMA kadri siku zinavyozidi kwenda.
Hivi karibuni, Dk. Slaa ameonyesha kukerwa na ukimya wa CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa zilizotolewa na Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho.
Ikumbukwe kuwa miezi chache nyuma Tundu Lissu...
Salaam, Shalom!!
Haya pia ni madhara ya kubaki na chama kimoja kikuu cha upinzani.
Tukijiuliza jwa sasa, CHADEMA bado kina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani, wangapi watakubaliana na HOJA hii ikiwa RUSHWA inayotajwa na viongozi ndani ya chama?
Ok, Chadema wanashawishiwa kuhongwa, huyu...
Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo
Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
Nipashe imemtafuta Mkuu wa TAKUKURU nchini, Salum Hamdani kutaka kujua uchunguzi wa jambo hilo umefikia wapi baada ya TAKUKURU kutangaza kufanya uchunguzi baada ya kiongozi huyo kutoa shutuma dhidi ya chama chake akiwa kwenye mkutano wa hadhara mjini Iringa.
“Uchunguzi ni ‘process’ na inachukua...
Ndugu zangu Watanzania,
Gazeti la Mwananchi limeripoti ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni amesema ya kuwa watachunguza na kufuatilia tuhuma za rushwa ndani ya CHADEMA.
Rai yangu ni kuwa ni muda sasa Lissu akatoe ushahidi wake wa Vitendo vya rushwa. Maana Lissu ndio amesikika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.