Ndugu zangu, kama umewahi kupeleka mtu yeyote mgonjwa utaniambia hiki nilichoona mimi ni sawa ama si sawa. Nilisindikiza rafiki yangu mwaka Juzi aliuguliwa mtoto mgongo wazi kufika pale ikawa huduma mbovu huduma hadi umpatie rushwa daktari ndio ahudumiwe, bahati mbaya sana mtoto akafariki...
Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Mji Makambako, Rashid Mustapha Makocha amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya akishtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 10,000 (Elfu Kumi)
Akisoma hukumu katika kesi hiyo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Njombe, Isaac Mlowe amemtia hatiani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.