Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Petro la Anglikana Dayosisi ya Kusini Magharibi Tanganyika lililopo katika Jimbo la Makambako mkoani Njombe ambalo limeanza kujengwa kwa nguvu za waumini na wadau wachache...