"Sisi majority abao ni vijana tunaweza tukakata huo mrija tukapata viongozi ambao ni real simu anapokea akikuta missed call yako anakupigia. Tunaacha viongozi wengi kwa sababu hawana fedha , tunawaacha viongozi wengi kwa sababu ya mionekano yao, tunawwacha viongozi wengi tunawanyima nafasi za...
Wakuu.
Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi
Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa kwamba abadili mbinu zake za kisiasa na kwamba badala ya kuwahudumia wananchi, aweke akiba ya fedha...
Wakuu,
Misaada na michango imeendelea kububujika kutoka kwa viongozi wa CCM
Hii michango kwanini hatukuiona miaka mitatu nyuma?
=================================
Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu...
Nilikuwa najiuliza kwanini watu wengi husema kuwa kama usipomalizia Kibanda chako au usipojenga Kipindi cha Uchaguzi Mkuu (hasa katika Nchi za Afrika) basi sahau tena kujeng.
Kwani Kipindi hicho Pesa zinakuwa nyingi na za Kumwaga huko Mitaani ila sasa nimeshaelewa walichokuwa wakikimaanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.