Mara kadhaa nimewambia kuwa chadema ni genge la wahuni wapiga dili, wanatumia chama kama kitegauchumi.
Mungu sio asumani leo hii leo hii tunawaona jinsi wanavyo tuhumiana wao kwa wao kula rushwa/kulamba mzigo.
Mnawaona jinsi wanavyo nyoosheana vidole;.........mara...wewe umesha lamba....ohhh...
Itokee siku moja Rais aende uwanja wa Taifa ili kukusanya maoni ya Watanzania juu ya mustakabali wa Taifa lao.
Kutwa nzima tujadili ni namna gani umaskini na ufukara ukomeshwe.
Tujadili ni namna gani wizi na ufisadi katika utumishi wa umma ukomeshwe. Tujadili mustakabali wa elimu yetu na afya...
Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia:
1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni.
Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho kuhusu rushwa, ghiriba na ufisadi wao kwa wao ndani ya Chama ni hoja endelevu hadi wakati huu isivyo...
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.
Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda...
Tangu nikiwa mdogo nasikia bilioni kadhaa zimetolewa na Uswizi kama msaada kwenda nchi fulani ya Afrika.
Mara Marekani imetoa msaada bilioni mia 4 kwenda nchi fulani.
Lakini hizi nchi zinazoongoza kupokea misaada hali ya maisha bado ingalipo.
Mpaka leo si vyama tawala au vya upinzani kipindi...
TAKUKURU - Taasisi Ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa jukumu lake mama ni kupambana na rushwa na ufisadi nchini. Hata hivyo, ufanisi wa juhudi hizi unategemea sana uwezo wa wananchi kutoa taarifa za vitendo vya rushwa na ufisadi kwa urahisi na bila hofu. Zifuatazo ni hatua ambazo nimeona na...
Rushwa imeendelea kuwa changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo na ustawi wa jamii nchini Tanzania. Hata hivyo, kuna uhitaji mkubwa wa kufanya kazi kwa pamoja ili kutokomeza kabisa tatizo hili. Kwa kuzingatia ustawi wa jamii na uratibu sahihi wa maendeleo yake, ifuatayo ni dira ya Tanzania...
Rushwa ni kitu chochote Cha thamani kinachotolewa Kwa lengo la kumshawishi mtu afanye au asifanye jambo fulani kinyume na taratibu na Sheria. Aidha kwa mujibu wa benki ya Dunia rushwa ni matumizi mabaya ya madaraka kwa manufaa binafsi.
Sheria za Tanzania zimeharamisha vitendo vya rushwa chini...
Uchunguzi : Wakati Serikali ikikuza sekta ya viwanda ili kupunguza tatizo la ajira nchini, ukuaji wa sekta hiyo umechangia kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa ajira za muda na za kudumu. Ajira hizi zimekuwa hazina ubaguzi wa jinsi kwa jicho la nje, japo kwa jicho la ndani yapo mengi yanayoendelea...
Mu Hali gani humu?
Tutete kidogo kuhusiana na Rushwa za ngono hasa maofisini. Suala la rushwa ya ngono maofisini limekuwa gumzo Kila kukicha, sasa Kuna sehemu niliketi buana, tulikuwa wanaume na wanawake.
Hii MADA ikaja mezani, Guess what! Wanaume takriban wote hoja Yao ilikuwa ni kwamba...
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
jamhuri
makamu
makamu wa rais
mbalimbali
miaka 60
miundombinu
muungano
ofisi
picha
rais
rais samia
rushwanaufisadi
safari
samia
uwabijibikaji
uzinduzi
vitabu
Picha: Gazeti la Mtanzania
UTANGULIZI.
Katika jamii, familia ni msingi thabiti wa ujenzi wa maadili na tabia za kijamii na kizazi kijacho. Kama vile jiko linavyokuwa kitovu cha mapishi, familia pia ni kitovu cha kuhamasisha uwajibikaji na utawala bora. Katika mataifa ya Ulaya na Uarabuni...
Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM.
Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu sana kwa kuboresha utawala bora kwa nchi yetu ya Tanzania, hii inatokana na mambo ambayo viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.