Mwana mama jasiri asiyeogopa, Pamela Massay leo akichukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu Bawacha taifa.
Amekemea rushwa adharani na ameapa kukomesha rushwa inayofukuta Bawacha.
Watu wamemsifu kwa ujasiri wake kwa kuwa Chadema ya sasa ukikemea rushwa wazi wazi unaitwa msaliti na...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amezungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2024.
Akijibu swali kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutoa tuhuma za uwepo wa mazingira ya Rushwa na kukosekana kwa Uadilifu, amesema:
“Kuhusu tuhuma ambazo Makamu...
Dkt. Wilbroad Slaa, Mwanachama na kiongozi mstaafu wa CHADEMA amedai kuna hali ya sintofahamu ndani ya chama chake cha zamani.
Ameamua kusema kuwa CHADEMA inatamka mambo makubwa, lakini vitendo vyao vinaonyesha picha tofauti kabisa.
Ameeleza wazi jinsi anavyokerwa na ukimya wa CHADEMA juu ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema
"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.