Kumekuwa na changamoto za watendaji kudai hongo kwenye post za ajira zinazoelekeza barua kupitia kwa watendaji ili barua yako ifike kwa mkurugenzi.
Pia fursa zikija mtaani bila kutangazaa ajira portal hawatangazi kwa wanakijiji wanatembeza kimagendo ili
wajiptie fedha.
Anonymous
Thread
ajira
ofisi za ummarushwarushwa kwa watendaji
rushwaofisiummarushwa watendaji