Lington Mbuzi, anakabiliwa na tuhuma za Ufujaji na Ubadhirifu wa Tsh. 13,913,488/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe zilizofika kwenye himaya yake akiwa Mtumishi wa Umma.
Imeelezwa kuwa, kati ya Mei 5 2017 na Oktoba 10, 2019, Mtuhumiwa akiwa Mkusanya Mapato katika Halmashauri hiyo...