rushwa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Izizimba

    Rushwa imekithiri katika taasisi za serikali bila kitu kidogo hupati huduma bora kwa haraka

    Rushwa imekuwa kama ugonjwa katika taasisi nyingi za serikali, ambapo kila kitu kinaonekana kuendeshwa kwa mlungula. Bila bahasha, huwezi kupata huduma kwa wakati, na bila "connections," mambo yako yatakwama hadi uchoke, utazungushwa mpaka uchakae. Hakuna anaejali umetoka wapi unapigwa tu...
  2. Mindyou

    Zifahamu nchi zisizokuwa na rushwa Afrika Mashariki. Tanzania yashika nafasi ya 2

    Wakuu, Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu. Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
  3. milele amina

    TAKUKURU Kilimanjaro kutokuchukua hatua za haraka kunusuru wananchi kuchangishwa fedha inashangaza

    Katika kipindi hiki cha wasiwasi na maswali, wananchi wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro wanashangazwa na kimya cha Kamanda wa TAKUKURU, aliyeshindwa kutoa maelezo kuhusu tuhuma za malipo ya elimu ya msingi na risiti zimeambatishwa. Katika bandiko langu lililochapishwa katika JF, nilieleza...
  4. mwanga mweusi

    Siku hizi vitendo vya rushwa nchini vimekuwa vya kawaida, sijui nani karuhusu hali hii

    Niseme tu kilichopo kuna mradi wa barabara unafanyika huku sisi vijana wa hapa ndio tuliwapokea wachina wakatuajiri kama vibarua, tunalipwa 5000 kwa masaa 10 tumejenga kempu imeisha. Sasa kinachokasirisha watu wametufukuzwa wakawaita wakenya ndio wakaajiriwa rasmi, hata baadhi yetu waliopo...
  5. Mfilipi WaTanzania

    Kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 2020 Jeshi la Polisi lilitajwa kama kinara wa Rushwa Tanzania

    Kwa Mujibu wa Utafiti wa “National Governance And Corruption Survey 2020” Jeshi la Polisi ni Taasisi Kinara kwa Rushwa nchini Tanzania kwa tasisi za Umma ikiwa na Alama 45.6%. Huu ni Utafiti uliofanywa kwa kuhoji Wananchi Maeneo Mbalimbali nchini. Wahojiwa walitoa maoni na kuonyesha kuwa Jeshi...
  6. Jagwanana

    Jinsi ya kupambana na rushwa

    Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa. Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa. Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...
  7. Shooter Again

    Watanzania tuamke tunaibiwa

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa, najua ipo siku nitakufa kwanini niogope kifo wakati huyo atakayenishoot na yeye ipo siku atakufa pia? Tunaona serikali inatuibia, tuzinduke usingizini tunaibiwa na wakufanya hii hali ipotee...
  8. ChoiceVariable

    Mahakama Kuu Tanzania yaamuru kusikilizwa upya kesi iliyokuwa inamkabili Mhasibu wa zamani wa TAKUKURU

    Kigogo huyo alikuwa anashitakiwa Kwa kosa la kuwa na Mali ambazo Hazina maelezo karibia Bilioni 4. Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa. My Take Mwenye pesa hajawahi fungwa hapa Tanzania labda Gen-Z waje wajitoe ufahamu ndio heshima itakuja. ====...
  9. M

    SoC04 Kuwe na mageuzi ya TAKUKURU na CAG ili kukomesha rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma yanayoibuliwa kila mwaka na CAG

    Mabadiriko yanatakiwa kufanyika katika utendaji wa Takukuru na CAG ili kuzuia ubadhirifu na ufisadi katika miradi na fedha za uma zinazotolewa na serikali. Kama sheria ya 2007 inayoipa takukuru mamlaka ya kuzuia rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha ya serikali. Awali ni...
  10. Juma jaibu kuhanga

    SoC04 Tindikali ya rushwa Tanzania

    Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo ambacho kinakawamisha maendeleo katika jamii yeyote hile kwani inazuia haki ya watu wengine. kuna mambo...
  11. Roving Journalist

    TMDA yasema madai ya Watumishi wao kuhusishwa na Rushwa "Wanaolalamika, wajitokeze, walalamike rasmi na hatua zichukuliwe"

    Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai baadhi ya Maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wamekuwa sio waaminifu wanapokwenda kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya Dawa (Pharmacy) ikiwemo kutengeneza mazingira ya Rushwa, kuchukua Dawa na kutoziwasilisha kwenye ofisi za TMDA, ufafanuzi...
  12. K

    SAP wakiri walitoa rushwa Tanzania na nchi nyingine

    Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa! === Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
  13. R

    Uliwahi kukwama kupata huduma fulani sababu ulishindwa kutoa rushwa? Ulichukua hatua gani?

    Wakuu, Wengi wamekuwa wakilalamika kuombwa rushwa ili waweze kupata huduma nzuri sehemu mbalimbali wanazokuwa wanajitaji huduma fulani, na ikitokea hujatoa basiutazungushwa sana mpaka mwenyewe uingie mfukoni kupaka mafuta vyuma ili mambo yaende. Baadhi wanasema kama hujawahi kuombwa rushwa...
  14. GoldDhahabu

    Rushwa Tanzania: Ni Kwa sababu ya njaa au tabia

    Rushwa! Ni msamiati unaofahamika sana Tanzania. Si matajiri wala maskini, wote wameathiriwa na Rushwa, kama wahanga au wanufaika. Rushwa! Rushwa Tanzania! Kila Kona ni rushwa. Huenda hata kwenye dini nako kuna rushwa! Inashangaza na kusukitisha! Hata watoto wanajua rushwa. Kwa nini rushwa...
  15. Lady Whistledown

    Songwe: Mkusanya mapato ashtakiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Tsh. Milioni 13

    Lington Mbuzi, anakabiliwa na tuhuma za Ufujaji na Ubadhirifu wa Tsh. 13,913,488/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe zilizofika kwenye himaya yake akiwa Mtumishi wa Umma. Imeelezwa kuwa, kati ya Mei 5 2017 na Oktoba 10, 2019, Mtuhumiwa akiwa Mkusanya Mapato katika Halmashauri hiyo...
Back
Top Bottom