Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai baadhi ya Maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wamekuwa sio waaminifu wanapokwenda kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya Dawa (Pharmacy) ikiwemo kutengeneza mazingira ya Rushwa, kuchukua Dawa na kutoziwasilisha kwenye ofisi za TMDA, ufafanuzi...