Wakuu,
Yaani mpaka Oktoba inafika tutaona zawadi na manjonjo mengi kutoka kwa hawa wanasiasa.
Hii ni rushwa au zawadi?
=====================================================
Meya Mstaafu wa Manispaa ya Moshi na Diwani wa Kata ya Boma Mbuzi Juma raibu, ametoa sapoti ya magari 10 kusaidia...
Wife juzi kanipigia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa leo ikabidi nimdodose yaani ni kina nani mpaka wagawe gas bure, akasema wao wakishakupa gas yao wewe unawapa namba yako ya NIDA hapo...
Wakuu,
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya...
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ambekabidhi Baiskeli kwa Wakulima 40 wa Mfano kwa Zao la Pamba Halmashauri ya Ushetu, ambazo zitawawezesha kufuatilia mwenendo wa uzalishaji Pamba kwa Msimu huu wa kilimo 2024/2025.
Akizungumza wakati wa kukabidhi baiskeli hizo Cherehani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.