MASWALI YA KUJIULIZA KUHUSU MADALALI WA SUKARI TANZANIA
Sugar Catels wamechachamaa, wanatumia kila mbinu ili wafanikiwe kubaki na 'monopoly right' ya kuamua bei ya sukari iweje nchini
Maswali ya kujiuliza;
1. Kwanini wanalipa watu mamilioni ili kujaribu kukwamisha mabadiliko ya sheria ya...
Mbunge Luhaga Mpina amethibitisha mbele ya waandishi wa. habari kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika uagizaji Sukari nje ya nchi, wakati Taifa letu lilipokumbwa na uhaba mkubwa wa Sukari, miezi michache iliyopita.
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, alisema kuwa ana uthibitisho...
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports...
Kumekuwa na mtifuano kati ya Mhe. Mpina na Mhe. Waziri wa Kilimo - Bashe kuhusu sukari iliyoagizwa ili kuziba pengo lililotokea katika nchi.
Mengi yamezungumzwa na Watanzania tumesikia mengi. Kama kweli yale maneno aliyoyasema Ndugu Lissu kule Itigi basi Serikali iliyoko madarakani inatakiwa...
Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.