Usikose kuungana nasi leo Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi. Je ni rushwa? Wananchi wanatofautishaje?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
Siku chache baada ya baadhi ya Wananchi kumjia juu Mbunge wao wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, ameamua kujibu.
Wananchi wao wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende waligoma kupokea zawadi za Mbunge wao ambazo ni fulana na fesha kwa madai kuwa hawawezi kufanya hivyo wakati huduma...
Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama na kwamba hatua Kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa atakayebainika.
Kupitia maazimio ya Kikao Cha...
Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Petro la Anglikana Dayosisi ya Kusini Magharibi Tanganyika lililopo katika Jimbo la Makambako mkoani Njombe ambalo limeanza kujengwa kwa nguvu za waumini na wadau wachache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.