Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara.
Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea...