Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,
Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa...
Katika pita pita zangu mitandaoni leo nimekutana na "Twit" inayosema kwamba Gavana wa BOT Gilman Rutihinda (1989 - 1993) alifariki kutokana na ajali ya gari mwaka 1993 kama hii tweet inavyojieleza:
Hata hivyo kuna article ya Mwaka 2011 hapa katika Forum inayoelezea kifo cha Gavana Rutihinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.