Sijui ni vigezo gani tunatumia kuchagua viongozi wetu Afrika. Kwa nchi kama Kenya mabayo imetajwa kuwa mojawapo ya nchi zenye ukame mkubwa barani Africa jambo linalopelekea uhaba wa maji na wana matatizo makubwa kama mfumuko wa bei za vitu na kodi kubwa kwa Wananchi wake imagine Rais anasema...