Wanajamvi, bado natafakari hotuba ya Ruto ambaye ameitoa hivi punde. Ninatizama live hivyo nitaweka hapa text ya hotuba.
Hatahivyo ni hotuba ya hovyo sana na anaonekana ku panic. Ameongea kama vile maandamano hayo ni ya wahuni tu na hivyo ameazimia kutumia nguvu zote za kimamlaka alizonazo...
KENYA: Rais William Ruto anatarajiwa kuhutubia Taifa usiku wa leo Juni 25, 2024 ikiwa ni siku iliyotawaliwa na Maandamano katika maeneo mbalimbali ya Nchi hiyo yakiongozwa na Vijana wenye Umri Mdogo (Gen Z)
Hatua ya Ruto inakuja wakati taarifa zikieleza takriban Watu 10 wameuawa kwa...