Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano, aliyekuwa makamu wa Raiswa Kenya, Rigathi Gachagua amesema kuwa alishapewa Ksh Bilioni 2 na Rais Ruto ili ajiuzulu nafasi yake ya Umakamu.
"Ruto aliniomba nijiuzulu, na kuniahidi KSh2 bilioni. Aliniahidi na ulinzi wa kutosha na marupurupu...