ruto x space

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakati Tanzania watawala wanatishia kufungia X, Ruto asema ataendelea kuingia space X, ndio safari imeanza

    Ruto pamoja na jana kupewa makavu kule Space ila amesema ataendelea kuwepo Space ili kusikiliza raia zaidi. Kule watu wamemchana live kiasi kwamba ingekuwa ni kiongozi hata Mkuu wa wilaya Tanzania kachanwa vile, leo kungekuwa na jamm ya matamko na press conference zisizo kuwa na idadi...
  2. Rais Ruto kushiriki mjadala na Wakenya kwenye X Space, Julai 5 kwa saa tatu

    Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space. Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea. Tusipo chukua notce kutoka Gen Z...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…