Kwa mujibu wa Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mtambo huo umezimwa kuanzia leo Februari 23, 2023 hadi saa 6 usiku Februari 24, 2023
Maeneo yanayoathirika ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Maili 35, Misugusugu...