Chombo cha utafiti RV Flip ndicho chombo pekee duniani chenye uwezo wa kuhama kutoka mlalo wa kuelea baharini hadi uwezo wa kusimama wima katikati ya bahari.
Flip sio meli ndogo, ina urefu wa mita 108 na uzani wa tani 700. Wahandisi waliitengeneza ili iweze kusimama wima.. Sema dede kwenye...