Picha: Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefanya mabadiliko hayo makubwa pasipo kuweka kwa sababu ya kuchukua maamuzi hayo yaliyohusisha Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Ulinzi kufutwa kazi kwa wakati mmoja.
Amemteua Juvénal Marizamunda kuwa Waziri wa Ulinzi akichukua nafasi...