rwanda na m23

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

    Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
  2. Video: Maneno ya Kusikitisha ya Mwanajeshi wa DRC

    Tumezeeka kwenye vita Tumezaa Watoto kwenye vita Maisha yetu ni tabu tupu Kila siku kutanga Tanga Hatuogopi kifo Kwa sababu bila Nchi hakuna maisha. https://x.com/PolycarpMDM/status/1884236594225504315?t=Mmhl4wkXi0f7tnDfNiNRFw&s=19 My Take M23 & DRC Wake chini wamalize tofauti zao,mipaka na...
  3. Machafuko makubwa yarindima Kinshasa, vijana waandama ubalozi wa Uganda na Ufaransa

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Huko kinshansa kimenuka Ubalozi wa Uganda na Ufaransa wachomwa moto na vijana wenye hasira kali Wanalilaumu JESHI lao kuiacha Goma mikononi mwa M23 LONDON BOY
  4. Kama Uganda na Rwanda Wanaisaidia M23, nini Mustakabali wa DRC Congo? Je, lengo ni kuanzisha Taifa lingine la Watusi?

    Mara ya kwanza ilikuwa ni Rwanda ndio inashitumiwa ila Sasa kumbe Hadi Uganda inasaidia ndugu zao wa Kitusi walioko Mashariki ya DRC. --- Uganda ilitoa msaada kwa waasi wa M23 nchini Congo Jeshi la Uganda limetoa msaada kwa waasi waM23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…