CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya .
Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.
Wanahai wako hai,hawatafanya makosa mwaka 2025.
Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai.
Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.