Ndugu Janabi amekua akitoa ushauri Tata kuhusu lishe,Hali iliyowafanya watanzania wengi kubaki njia panda.
Nataka niwaambie ndugu zangu watanzania Huyu Janabi sio wa kwanza, miaka ya nyuma Kuna mtu alijiita DR NDODI Huyu ndio alikuwa balaa alitoa vitisho vyake na kila Aina ya vyakula na...