Mboga saba.
Verse 1 – Mr Blue
Mboga saba umeniteka, makahaba nawacheka
Kwenye mkataba nakuweka, kwenye mahaba nakuweka
Napiga ibada usije lala kwenye mkeka
Aah kama vumba likikataa
Aah ndumba halitovaa
Bila nyumba chumba kimoja utakaa?
Nguo za mitumba nauliza mchumba utavaa? (Yeah)
Yeah...