Kuna watu umewaruhusu wawe sehemu ya maisha yako kukupotezea muda tu. Haya ni mabomu! Yamelipua uchumi wako, mapenzi yako, siasa zako, kazi yako, dini yako. Huna hamu ya kuishi!
Kuna watu unasema ni watu wako lakini hawajawahi kukupa hela,wala hawajawahi kukupa mchongo wa hela, hata ukipata...