saba

Saba (; Dutch pronunciation: [ˈsaːbaː]) is a Caribbean island which is the smallest special municipality (officially “public body”) of the Netherlands. It consists largely of the potentially active volcano Mount Scenery, which at 887 metres (2,910 ft) is the highest point of the entire Kingdom of the Netherlands. The island lies in the northern Leeward Islands portion of the West Indies, southeast of the Virgin Islands. Together with Bonaire and Sint Eustatius it forms the BES islands.
Saba has a land area of 13 square kilometres (5.0 sq mi). The population was 1,933 as of January 2020, with a population density of 148 inhabitants per square kilometre (380/sq mi). It is the smallest territory by permanent population in the Americas. Its towns and major settlements are The Bottom (the capital), Windwardside, Zion's Hill and St. Johns.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Matokeo ya darasa la saba 2022 yametoka?

    Mambo vipi humu jukwaani natumaini mko poa wote, Nije kwenye swali, naomba kuuliza je? Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka huu 2022 yatakuwa yametoka ama bado? Maana nimeingia ukurasa wa Necta balaza la mitihani hakuna kitu sana sana nimekuta ya 2019,2020,2021 basi, je yatakuwa bado,
  2. SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp === Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  3. Wazazi wawatishia watoto kifo endapo watafaulu mitihani ya Darasa la Saba

    Baadhi ya wazazi wilayani Makete mkoani Njombe wamedaiwa kuwatisha watoto wao wanaohitimu elimu ya msingi kufanya vibaya kwenye mitihani kwa madai kuwa wakifaulu wao watafariki dunia. Ameeleza hayo Ofisa Mtendaji wa Kata ya Lupila , Tumwanukye Ngakonda kwamba baada ya wanafunzi hao kuhojiwa...
  4. Nkasi: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka saba

    Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba. Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa mahakama...
  5. Same: Ajali yaua watu saba wa familia moja

    Watu saba wa Familia moja akiwemo Ofisa Uhamiaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Sylvester Chambo na wanae wanne wamefariki dunia papohapo huku wengine wanane wakijeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari jingine Wilaya ya Same, Mkoani...
  6. Watanzania Milioni Saba 'Wamedata' Kiakili

    "Watanzania Milioni Saba wana matatizo ya Akili kutokana na Changamoto mbali mbali za Kimaisha" Amka na BBC Asubuhi ya Leo. Na zifuatazo ni sababu Kuu zinazopelekea 'Wadataji' hao ( siyo GENTAMYCINE ) kuwa hivyo.,.. 1. Madeni 60% 2. Mahusiano 25% 3. Ajira 10% 4. Kushabikia Yanga SC 3% 5...
  7. R

    Hongera sana walimu wa sekondari kwa usimamizi mzuri wa Darasa la Saba

    Nawasalimu Kwa jina la JMT. Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa. Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo. Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
  8. Kitu gani huwezi kusahau siku ambayo ulikua unafanya mtihani wa Darasa la Saba? Ndani na nje ya chumba cha mtihani

    Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania mkeka. Ilikua hivi, mtihani wa hesabu. Boni alikua mzuri kwenye hesabu hivyo Hasani akawa anakopi...
  9. Kwanini mitihani ya kumaliza darasa la Saba inafanyika kama sio Jumatano basi Alhamisi

    Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
  10. Polisi Iringa yawaua majambazi saba

    Good work 👇
  11. Baada ya kufanya kazi kwa miaka saba, Trevor Noah ameachana na The Daily Show

    Mchekeshaji Trevor Noah kutoka SA ameachana na kazi ya kuhost kipindi cha habari na vichekesho cha The Daily Show.
  12. Je, ungependa kufungua kampuni ndani ya siku saba?

    Naamin huu uzi unaweza usiwe wa kwanza kwako juu ya ujuzi wa kufungua Kampuni na umekua ukipata ujuzi kutoka kwa watu mbalimbali Lakin ngoja nikuulize swali “unahisi bado kuna kipande cha ujuzi ndani yako kinakosekana? Bhas huu uzi ndio kipande cha ujuzi kilichobaki ambacho kilikua kinakosekana...
  13. SoC02 Sababu saba (07) za kwanini unapaswa kukabiliana na msongo wa mawazo kwenye maisha yako

    Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku. Inawezekana una...
  14. Plot4Sale Jipatie Shamba Vigwaza la ekari saba na nusu kwa Milioni 20

    Karibuni mjipatie Shamba la eka saba na nusu kwa bei nafuu ya shilingi milioni 20. Shamba liko umbali wa kilomita tatu na nusu kutoka barabara ya lami ya Dar Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji wa kuku, mbuzi, bata na mifugo mingine. Huduma ya maji ya DAWASA imesogezwa karibu na shamba...
  15. M

    Jaji mmoja wa Kenya kati ya wale saba ana Jina la kwanza la ajabu

    Mzuka wanajamvi! Wakenya bana sometimes wanachekeshaga Sana. Kuna Jaji mmoja kati ya wale saba anaitwa Smokin Wanjala unajiuliza what's this? Hata kama kuiga huku ni kuvuka mpaka. Afadhali bongo tunaiga lakini siyo kivileee, mfano Dodoma kuna msela flan anaitwa Wolfgang Mponeja angalau. Kuna...
  16. SoC02 Siri kuu saba zilizonifanya kufungua kiwanda baada ya kufukuzwa Chuo

    Siri kuu saba zilizonifanya kuanzisha kiwanda baada ta kufukuzwa chuo. Moja kati ya shughuli za kiuchumi zenye kuleta mageuzi makubwa Kwa uchumi wa nchi yoyote ni kuanzisha viwanda. Kuanzisha na kuendesha viwanda ni rahisi sana kwa mtu binafsi hasa ukipewa Siri yake. Hapa kuna siri kuu saba...
  17. M

    Nilivyomhamisha mtaa kwa siku saba jirani yangu mjeuri

    Habari zenu. Kuna kabila moja kanda ya ziwa wakiwa jirani zako maugomvi hayaishi. Mara kakuibia mpaka, mara ajitape yeye ni tajiri sijui nini sijui nini. Jirani yangu huyu ana tuvisenti twake akajifanya ana jeuri sana siku moja akaniambie we naweza kukuhamisha mtaa na mimi nikamwambia huwezi...
  18. SoC02 Makosa Saba (07) yanayopelekea Kupoteza Fedha zako

    Emmanuel Olumide mwandishi wa vitabu kutoka Nigeria aliandika kitabu cha “50 common money mistakes” kitabu ambacho ameelezea makosa hamsini (50) ambayo watu wengi hufanya kwa kujua au kutojua na kupelekea kupoteza fedha zao, inawezekena kabisa unapata fedha lakini hujui wapi fedha zako...
  19. SoC02 Mtihani wa darasa la saba kisiwe kipimo cha mwisho cha uwezo wa akili kwenye elimu

    Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na umri mdogo. Kwa hiyo wengi wao wanakuwa hawajatambua ni njia gani watumie katika kusoma ili kufanya...
  20. M

    Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko? Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…