Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo uliotarajiwa kuhutubiwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu ambao ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Maalim Seif Garden, Kilwa Kivinje, mkoani Lindi leo, Ijumaa Desemba 06.2024 umepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kwa kile kinachoelezwa kuwa...
Marekani, Uhispania, Italia, na Ugiriki zimetangaza kufunga kwa muda balozi zao mjini Kyiv siku ya Jumatano, baada ya kuripoti " uwepo hatari kubwa ya mashambulizi ya anga nchini Ukraine."
Ubalozi ya Uhispania iliwajulisha raia wake walioko Ukraine kupitia barua pepe kuhusu kufungwa kwa ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.